• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • AfDB kufadhili miradi ya EAC  

  (GMT+08:00) 2019-02-25 19:59:32
  Afdb Benki ya maendeleo ya frika imesema itafadhili mpango wa kimaeneeleo wa awamu ya 5 wa jumuiya ya Afrika Mashariki.

  Ufadhili huo wa dola milioni 985 unafuatia makubaliano baada ya mkutano kati ya katibu mkuu wa EAC Liberat Mfumukeko na rais wa benki hiyo Akinwumi A. Adesina mjini Abidjan, Ivory Coast.

  Mfumukeko alikuwa ameomba fedha kusaidia sekta za kilimo na viwanda. Awali mkutano wa marais wa EAC uliofanyika mjini Arusha uliidhinisha miradi 286 ya miundo mbinu inakayogharimu dola bilioni 78 ndani ya miaka 10 ijayo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako