• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa 9 wa bunge la 13 la umma la China wafanyika Beijing

    (GMT+08:00) 2019-02-26 20:44:03

    Mkutano wa 9 wa bunge la 13 la umma la China umefanyika leo kwenye Jumba la Mikutano ya Umma hapa Beijing.

    Moja ya kazi muhimu ya mkutano huo ni kufanya maandalizi kwa ajili ya Mkutano wa pili wa bunge la 13 la umma la China utakaofanyika hivi karibuni. Maandalizi hayo ni pamoja na kukagua na kujadili ripoti ya kazi ya kamati ya kudumu ya bunge la umma la China, kukagua na kujadili muswada wa ajenda ya mkutano wa pili wa bunge hilo, muswada wa orodha ya majina ya wajumbe wa jopo la wenyekiti na katibu mkuu pamoja na watu watakaohudhuria mkutano huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako