• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • NDONDI: Wadau ngumi wapinga tamko la BMT

    (GMT+08:00) 2019-02-27 08:33:17

    Muda mfupi baada ya Baraza la Michezo la Taifa Tanzania (BMT) kutangaza Machi 30 kufanyika uchaguzi wa bodi ya ngumi za kulipwa nchini humo, wadau wa mchezo huo wamepingana na baraza hilo.

    Akizungumza jana Dar es Salaam, Afisa habari wa BMT, Najaha Bakari ametangaza kuwa Machi 25 ni mwisho wa kuchukua fomu za uongozi huku wagombea watafanyiwa usaili Machi 29.

    Wadau wa mchezo huo wamesema BMT ilipaswa kutoa muda wa siku chache ili wapiga kura waweze kuwafahamu wagombewa wao.

    Nafasi zinazogombewa ni rasi, makamu wa rais, katibu mkuu na mweka hazina.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako