• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • RAGA: Mashabiki wa raga waomboleza

    (GMT+08:00) 2019-02-27 08:33:46

    Wapenzi wa mchezo wa raga wanaomboleza kifo cha mchezaji Richard Sidindi Otieno ambaye ameaga dunia Jumatatu asubuhi. Shirikisho la Raga la Kenya (KRU) limetangaza kifo cha Sidindi likisema amewacha familia ya wapenda mchezo huo katika majonzi kwakuwa alikuwa ni mchezaji aliyejituma kuhakikisha bendera ya Kenya inapepea vyema katika michuano hususani ya kimataifa.

    Tovuti ya ragahouse.com imeandika Otieno amefariki akifanya mazoezi ya kuogelea.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako