• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Wadau wa sekta ya uchukuzi wa anga wakutana Kigali

    (GMT+08:00) 2019-02-27 19:45:55

    Wadau kwenye sekta ya uchukuzi wa anga kutoka Afrika wanakutana kwa siku mbili mjini Kigali nchini Rwanda kujadili maswala ya usalama na taaluma kwenye sekta hiyo.

    Mkutano huo unawaleta pampja wakuu wa mashirika ya ndege, watunga sera na watoa huduma kwenye sekta hiyo.

    Miongoni mwa maswala mengine yanayojadiliwa ni pamoja na vikwazo vya ukuaji, taratibu na mapato kwenye sekta ya usafiri wa anga.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako