Kampuni ya huduma za mawasiliano ya Airtel Kenya imetangaza kuanzisha minara 800 ya kusambaza intaneti ya kasi ya 3G na 4G katika juhudi za kuimarisha huduma zake kwa wateja.
Huduma hizo zinalenga miji 40 ikiwemo Kisumu, Nyeri, Meru, Nakuru, Bungoma na Lamu.
Mkurungezi wa Airtel Kenya Prasanta Das Sarma amesisitiza kuwa kampuni hiyo itaendelea kuboresha huduma zake na kufikia maneoe zaidi na inateneti ya kasi nchini humo.
Airtel ilizindua inatenti yake ya kasi ya 4G mwaka uliopita.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |