• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uganda: Mauzo ya bidhaa za kilimo kutoka Uganda yaongezeka

  (GMT+08:00) 2019-02-27 19:51:56

  Bidha za chakula ndio zinazouzwa kwa wingi kutoka Uganda kwenda nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki.

  Taakwimu kutoka kwa benki kuu ya Uganda zinaonyesha kuwa mauzo kwenda nchini Kenya yalipanda kwa dola milioni 719 ikilinganishwa na dola milioni 551 za mwaka 2017.

  Mahindi ndio yaliouzwa kwa wingi katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita.

  Uganda pia imeuza kwenye soko la Afrika Mashariki nanasi, tikiti maji na mayai.

  Hata hivyo mauzo kwenye soko la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yalipungua kwa asilimia 10 hadi dola 450 mwkaa uliopita maafisa wakisema hali hiyo imetokana na kuzuka kwa maradhi ya ebola na siasa za kuelekea uchaguzi wa Urais.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako