• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kituo cha habari cha mikutano miwili ya China chafunguliwa

    (GMT+08:00) 2019-02-28 10:05:46

    Mkutano wa pili wa Baraza la Mashauriano la Kisiasa la awamu ya 13 la China na Mkutano wa pili wa Bunge la awamu ya 13 la Umma la China na itafunguliwa tarehe 3 Machi na tarehe 5 hapa Beijing. Kituo cha habari cha mikutano miwili ya China kimefunguliwa rasmi jana ili kuwahudumia waandishi wa habari watakaoripoti mikutano hiyo. Ili kuhakikisha waandishi wa habari wanafanya kazi zao kwa mafanikio, kituo hiki kimeweka ofisi ya huduma ya mawasiliano ya simu, mtandao wa internet, na kutoa huduma ya mtandao wa 5G.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako