• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • CMG yafanikiwa kutengeneza video ya aina ya 4K kupitia jukwaa jipya la teknolojia ya 5G

    (GMT+08:00) 2019-02-28 19:48:00

    Jukwaa jipya la tekolojia ya 5G la Kituo Kikuu cha Radio na Televisheni cha China CMG limefanikiwa kutimiza utengenezaji wa video ya 4K. Alama 16 za video ya sifa ya juu ya aina ya 4K zilizoko sehemu mbalimbali zinaweza kupelekwa moja kwa moja kwenye maabara ya matumizi ya vyombo vya habari vinavyotumia 5G kupitia teknolojia ya 5G kupitia toleo jipya la simu ya Huawei aina ya Mate X inayoweza kufungwa na kufunguliwa.

    Mafanikio hayo yanamaanisha kuwa jukwaa jipya la teknolojia ya 5G la kituo hicho linaweza kukidhi mahitaji ya utengenezaji wa vipindi vya video za aina ya 4K, na itatumiwa katika mikutano miwili ya Bunge la Umma la China na Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China itakayofanyika hivi karibuni.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako