• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • CMG na serikali ya mkoa wa Guangdong zasaini makubaliano ya kuzidisha ushirikiano

  (GMT+08:00) 2019-03-03 18:35:48

  Kituo Kikuu cha Radio na Televisheni cha China CMG na serikali ya mkoa wa Guangdong wamesaini makubaliano ya kuzidisha ushirikiano wa kimkakati. Katibu wa kamati ya chama cha kikomunisti cha China cha mkoa wa Guangdong Bw. Li Xi amehudhuria hafla ya kusaini makubaliano hayo. Mkuu wa CMG Bw. Shen Haixiong na naibu katibu wa kamati ya chama cha kikomunisti cha China cha mkoa wa Guangdong Bw. Ma Xing Rui wamewakilisha pande zao kusaini makubaliano hayo.

  Kwa mujibu wa makubaliano hayo, CMG itajenga makao makuu yake ya Eneo la kiuchumi la Guangdong, Hongkong na Macao na kituo cha habari cha Guangdong huko mji wa Guangzhou, kujenga kituo cha kukusanya na kutengeneza habari cha Eneo la kiuchumi la Guangdong, Hongkong na Macao mjini Shenzhen.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako