• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa Pili wa Bunge la 13 la Umma la China kufunguliwa kesho Beijing

    (GMT+08:00) 2019-03-04 12:07:04

    Mkutano wa Pili wa Bunge la awamu ya 13 la Umma la China utafunguliwa kesho mjini Beijing.

    Radio China Kimataifa iliyo chini ya Shirika kuu la Utangazaji la China CMG itautangaza moja kwa moja ufunguzi wa mkutano huo kwa lugha za Kiingereza, Kirusi, Kivietnam na Kilaos, kupitia tovuti ya CRI Online, App ya China Plus pamoja na vyombo vingine.

    Pia utatangazwa kwa lugha 44 za kigeni kupitia tovuti ya CRI Online, App pamoja na mitandao ya kijamii ikiwemo Facebook, Twitter na VK, na kutangazwa moja kwa moja kwa lugha ya Kichina kwa video kupitia tovuti ya CRI Online.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako