• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nchi na mashirika ya kimataifa 152 zasaini makubaliano ya ushirikiano na China kuhusu Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja

    (GMT+08:00) 2019-03-04 13:06:11

    Msemaji wa Mkutano wa Pili wa Bunge la 13 la Umma la China NPC Bw. Zhang Yesui amesema, jumla ya nchi na mashirika ya kimataifa 152 zimesaini makubaliano ya ushirikiano na China kuhusu Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia moja. Pia amesema katika mwaka 2018 pekee, nchi 67 zimesaini nyaraka kama hizo na China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako