• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Pombe iliopakiwa kwa mifuko ya platiki yapigwa marufuku Uganda

    (GMT+08:00) 2019-03-04 19:02:40
    Uganda imepiga marufuku upakiaji na uuzaji wa aina yoyote ya pombe kwenye mifuko ya plastiki.

    Awali wizara ya afya nchini humo ilikuwa imeonya kuwa kuna uwezekani wa kuwepo na hatari za kiafya katika utumiaji wa bidhaa hizo.

    Wizara ya afya kwenye taarifa ya ijumaa imesema kuanzia tarehe 31 Machi viwanda vyote vinatakiwa kuacha kuzalisha pombe iliopakiwa kwenye mifuko ya plastiki.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako