• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sudan Kusini: Ada ya kupiga simu Sudan Kusini yapanda

    (GMT+08:00) 2019-03-04 19:03:11
    Mamlaka ya kuthibiti sekta ya mawasiliano nchini Sudan Kusini imesema kuwa imeongeza ada ya kupiga simu ndani nan je ya nchi kwa asilimia 40.

    Mamlaka imesema ongezeko hilo la ada litsaidia kukuza sekta ua mawasiliano nchini humo.

    Mkurungezi wa sekta hiyo Ladu Wani Kenyi,amesema ada mpya zitaanza kutekelezwa Machi 7.

    Alisema ada ya kupiga simu kwenda nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki itaongezeka kutoka dola 0.5 hadi 0.10.

    Kuna kampuni mbili tu za kutoa huduma za simu chini Sudan Kusini MTn kutoka Afrika Kusini na Zain ya Kuwait.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako