• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Klabu ya David Beckham inakuja kivingine.

  (GMT+08:00) 2019-03-05 08:32:51

  Ni mpango wa ujenzi wa uwanja wa mazoezi na akademi ya klabu ya soka ya Inter Miami Florida Marekani, inayomilikiwa na nyota wa zamani wa Manchester United, Real Madrid, LA Galaxy na PSG David Beckham.

  Timu ya mwanasoka huyo itaanza kushiriki ligi ya Marekani msimu huu wa 2019/20. Wakati hayo yakiendelea, uwanja unaomilikiwa na timu ya Beckham unatarajiwa kukamilika mwaka 2022 lakini hata hivyo, bado eneo la ujenzi wa uwanja huo halijafahamika kufuatia eneo la awali kukumbwa na mgogoto wa kisheria.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako