• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China asisitiza uaminifu zaidi wa utamaduni

    (GMT+08:00) 2019-03-05 08:59:27

    Rais Xi Jinping wa China amewataka waandishi, wasanii na wananadharia kuongeza nguvu ya Imani ya utamaduni, kuhudumia jamii kwa kazi nzuri, na kuiongoza jamii kwa kuwa na uadilifu wa hali ya juu.

    Rais Xi ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), amesema hayo leo katika mjadala wa pamoja uliohudhuriwa na washauri wa kisiasa kutoka sekta za utamaduni na sanaa na sayansi ya jamii ambao watashiriki katika mkutano wa pili wa Kamati ya Mashauriano ya Kisiasa ya China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako