• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa Pili wa Bunge la awamu ya 13 la Umma la China wafunguliwa Beijing

    (GMT+08:00) 2019-03-05 09:23:25

    Mkutano wa Pili wa Bunge la awamu ya 13 la Umma la China NPC umefunguliwa leo mjini Beijing. Rais Xi Jinping wa China pamoja na viongozi wa chama na serikali na wajumbe wapatao 3,000 wa bunge la umma la China wamehudhuria ufunguzi wa mkutano huo.

    Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang ametoa ripoti ya kazi ya serikali kwa mwaka uliopita, na kuwasilisha mipango ya kazi ya mwaka huu ili ijadiliwe kwenye mkutano huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako