• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yatimiza malengo makuu ya maendeleo ya uchumi na jamii

    (GMT+08:00) 2019-03-05 09:23:20

    Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang amesema, Katika mwaka 2018 ambao ulikuwa ni mwaka wa kwanza kwa serikali ya awamu ya 13 kutekeleza majukumu yake, licha ya kukabiliwa na hali yenye utatanishi, China imetimiza malengo makuu ya maendeleo ya uchumi na jamii kwa mwaka 2018, na kupata maendeleo makubwa katika mchakato wa kukamilisha ujenzi wa jamii yenye maisha bora.

    Mwaka jana pato la taifa GDP liliongezeka kwa asilimia 6.6, ongezeko la idadi ya watu waliopata ajira mijini na vijijini limefikia milioni 13.61, idadi ya watu maskini vijijini imepungua kwa milioni 13.86, na ongezeko la wastani wa pato kwa kila mkazi limefikia asilimia 6.5.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako