• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yapanua kwa pande zote ufunguaji mlango

    (GMT+08:00) 2019-03-05 09:39:12

    Serikali ya China leo imesema, Mwaka 2018 China ilipanua kwa pande zote ufunguaji mlango, ambapo nafasi ya mazingira ya biashara ya China duniani imepanda juu zaidi, na mafanikio makubwa yamepatikana katika ujenzi wa pamoja wa "Ukanda mmoja, njia moja"; utumiaji wa vitega uchumi kutoka nje ulifikia dola za kimarekani bilioni 138.3, ambao umechukua nafasi ya kwanza kati ya ule wa nchi zinazoendelea; kiwango cha jumla cha ushuru forodhani kilipungua hadi 7.5% kutoka 9.8%; ilipunguza kwa kiasi kikubwa orodha ya sehemu ya kuzuia mitaji kutoka nje, kupanua ufunguaji mlango katika mambo ya fedha na sekta ya magari, miradi mingi mikubwa inayotumia mitaji ya nje imeanzishwa nchini China, na makampuni yanayotumia mitaji ya nje yaliyoanzishwa mwaka jana yaliongezeka kwa karibu 70%.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako