• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nakisi ya China itadhibitiwa ndani ya 2.8%

    (GMT+08:00) 2019-03-05 10:01:23

    Waziri mkuu wa China Li Keqiang leo alipotoa ripoti ya kazi ya serikali alisema, ili mambo ya uchumi yaendelee kuendeshwa katika hali inayofaa, mwaka huu China itaendelea kutekeleza sera zenye juhudi na za hatua madhubuti kuhusu mambo ya fedha, ambapo nakisi ya bajeti itadhibitiwa ndani ya 2.8%, ambayo ni juu zaidi kuhusu bajeti ya 0.2% la mwaka jana, na nakisi ya serikali kuu na ya mikoa kwa jumla itafikia Yuani ya Renminbi trilioni 2.76. Amesema, China pia itakamilisha utaratibu kuhusu ubadilishaji wa fedha, na kudumisha ubadilishaji halali na utulivu wa fedha za Renminbi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako