• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yaweka lengo la ongezeko la GDP kwa mwaka huu kuwa asilimia 6 hadi 6.5

    (GMT+08:00) 2019-03-05 10:03:35

    Kwa mujibu wa ripoti ya kazi ya serikali iliyotolewa leo asubuhi kabla ya Mkutano wa Pili wa Bunge la awamu ya 13 la Umma la China, China imeweka lengo la ongezeko la Pato la Ndani GDP kwa mwaka huu kuwa ni kati ya asilimia 6 na 6.5.

    Kwa mujibu wa ripoti hiyo, China inalenga kudumisha kiwango cha mfumuko wa bei katika asilimia 3, na kutoa nafasi za ajira mpya zaidi ya milioni 11 mijini. Kiwango cha ukosefu wa ajira katika maeneo ya mijini kinatarajiwa kubaki katika asilimia 5.5, kiwango cha ukosefu wa ajira kwa waliojiandikisha kitakuwa asilimia 4.5.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako