• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China itahimiza shughuli za sekta mpya ziendelezwe kwa haraka na kupanua ushirikiano mpya wa kimataifa

    (GMT+08:00) 2019-03-05 10:15:26

    Waziri mkuu Li Keqiang amesema, mwaka huu China itahimiza viwanda vya jadi vifanyiwe mageuzi na kuinuliwa kiwango, kuhimiza shughuli za sekta mpya ziendelezwe kwa haraka, kuunga mkono viwanda viharakishe kufanyiwa mageuzi ya kiufundi na kuzatitiwa kwa zana na vifaa vipya, kuhimiza vigezo vioanishwe na vigezo vya kisasa vya kimataifa, kulea teknolojia za kizazi kipya za upashanaji habari, zana na vifaa vya hali mpya ya juu, matibabu ya kibaolojia, magari yanayotumia nisha mpya, vifaa vipya na kadhalika, na kukuza uchumi wa kitarakimu. Wakati huohuo, China itapanua ushirikiano mpya wa kimataifa, na kuboresha huduma kwa watu waliorudi China baada ya kusoma nje na wataalamu kutoka nchi za nje.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako