• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kuongeza nguvu ya kuvutia uwekezaji kutoka nje mwaka huu

    (GMT+08:00) 2019-03-05 10:25:26

    Ripoti ya kazi ya serikali ya China inaonyesha kuwa mwaka huu China itaongeza nguvu ya kuvutia uwekezaji kutoka nje. Taarifa hiyo imesema China italegeza udhibiti wa kuingia sokoni, kupunguza orodha ya sekta zilizopigwa marufuku kwa uwekezaji wa nje, na kuyaruhusu mashirika binafsi ya nje kufanya biashara kwenye sekta nyingi zaidi. Zaidi ya hayo China itaimarisha juhudi za kulinda maslahi halali ya wawekezaji kutoka nchi za nje.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako