• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China itatoa nguvu kubwa kwa kuboresha mazingira ya ukuaji wa uchumi binafsi

    (GMT+08:00) 2019-03-05 10:44:31

    Waziri mkuu wa China Li Keqiang amesema, serikali ya China itatoa nguvu kubwa kwa kuboresha mazingira ya ukuaji wa uchumi binafsi, itavitendea kwa usawa viwanda vya umilikaji wa aina zote katika ruhusa ya kuingia kwenye soko, manunuzi ya kiserikali na kazi ya kutoa zabuni; na italinda kithabiti hakimiliki ya uzalishaji, kuadhibu vitendo vya kukiuka hakimiliki, na kuwawezesha wanaviwanda waendeshe shughuli zao kwa usalama na bila wasiwasi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako