• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China itaimarisha mawasiliano na mazungumzo, uratibu na ushirikiano na nchi kubwa duniani

    (GMT+08:00) 2019-03-05 10:56:26

    Waziri mkuu wa China Li Keqing amesema katika ripoti yake ya kazi ya serikali kuwa, katika mwaka 2019, China itafuata njia ya kujiendeleza kwa amani bila kutetereka, kufuata mkakati wa kufungua mlango na kufanya ushirikiano wa kunufaishana, kulinda kithabiti ushirikiano wa pande nyingi na kulinda mfumo wa kimataifa ambao kiini chake ni katiba ya Umoja wa Mataifa. China itafanya juhudi za kushiriki kwenye mageuzi na kukamilisiha mfumo wa kushughulikia matatizo ya dunia, kulinda kithabiti uchumi wa dunia wa kufungua mlango, na kuhimiza ujenzi wa jumuiya ya binadamu ya mustakabali wa pamoja. Na itaimarisha mawasiliano na mazungumzo, uratibu na ushirikiano na nchi kubwa duniani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako