Waziri mkuu wa China Bw Li Keqiang leo amesema katika ripoti yake ya kazi ya serikali kuwa, China itaendelea kuhimiza udhibiti wa uchafuzi, na kudumisha na kupanua matokeo ya kuhifadhi mazingira, ambapo kiwango cha utoaji wa hewa chafu ikiwa ni pamoja na salfa dioxide na oksaidi ya naitrojeni kitapungua kwa asilimia 3, na kuendelea kupunguza kiwango cha PM 2.5 kwenye maeneo muhimu, kuimarisha udhibiti wa uchafuzi wa maji na udongo wa mashamba, kuendeleza na kupanua sekta zisizotoa uchafuzi mwingi kwa mazingira, kuimarisha ukarabati wa uhifadhi wa mfumo wa mazingira ya kiikolojia, ili kuwapatia wananchi mazingira mazuri ya kuishi.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |