Ripoti ya kazi ya serikali iliyotolewa leo, inasema mwaka huu China itachukua hatua mbalimbali kuhimiza ongezeko la mapato ya wakazi wa mijini na vijijini, ili kuongeza uwezo wa matumizi nchini; kuongeza utoaji wa bidhaa na huduma bora kwa njia mbalimbali, kwa kufuata mabadiliko mapya yanayotokea katika mahitaji ya matumizi .
Ripoti hiyo pia imesema idadi ya watu wenye umri wa zaidi ya miaka 60 imefikia milioni 250, na serikali itaongeza nguvu katika kukuza utoaji wa huduma za matunzo ya uzeeni, kuendeleza sekta ya utalii, na kutuliza matumizi ya magari.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |