• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yafanya juhudi za kupunguza matatizo ya kampuni za kukusanya mitaji

    (GMT+08:00) 2019-03-05 11:16:21

    Serikali ya China imesema kuwa mwaka huu China itafanya juhudi za kupunguza matatizo ya kampuni katika kukusanya mitaji, kuongeza nguvu katika kupunguza kiwango cha uwiano wa akiba kwa benki zenye ukubwa wa kati na ndogo; kuzihimiza mabenki makubwa ya biashara kuongeza utoaji wa mikopo ya muda mrefu na kati kwa viwanda vya utengenezaji.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako