• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kuchukua hatua mbalimbali kuhimiza biashara na uwekezaji huria na kuweka urahisi

    (GMT+08:00) 2019-03-05 11:19:31

    Ripoti ya kazi ya serikali iliyotolewa leo na waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang, inasema mwaka huu China itashikilia kanuni ya kushauriana na kujenga kwa pamoja na kunufaika kwa pamoja, kuimarisha ushirikiano wa kimataifa kuhusu uwezo wa uzalishaji, kupanua ushirikiano wa masoko katika upande wa tatu, kuhimiza ujenzi wa pamoja wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja", na kufanya maandalizi kwa ajili ya Mkutano wa Pili wa Kilele wa Baraza la "Ukanda Mmoja, Njia Moja".

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako