• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China Bara lakuza kwa pande zote ushirikiano na mikoa ya utawala maalumu ya Hongkong na Macao

    (GMT+08:00) 2019-03-05 11:24:28

    Waziri wa China Bw. Li Keqiang amesisitiza kwenye Ripoti ya kazi ya serikali kuwa, serikali kuu ya China itaendelea kutekeleza kwa pande zote na kwa usahihi miongozo ya "Nchi Moja na Mifumo Miwili", "Mambo ya Hongkong yajiendeshwe na wahongkong wenyewe" na "Mambo ya Macao yajiedeshwe na wamacao wenyewe", kushughulikia mambo ya mikoa hiyo kwa kufuata katiba ya nchi na sheria za kimsingi; kuiunga mkono mikoa ya maalumu ya Hongkong na Macao kuimarisha ushirikiano wa kunufaishana na China Bara, kwa kuchukua fursa ya ujenzi wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja", na Eneo la kiuchumi la Guangdong, Hongkong na Macao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako