• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yatazamiwa kupunguza idadi ya wanakijiji wenye hali ya umaskini kwa milioni 10

    (GMT+08:00) 2019-03-05 11:48:00

    Ripoti ya kazi ya serikali ya China iliyotolewa leo imedokeza kuwa, mwaka huu China imepanga mpango wa kupunguza idadi ya wanakijiji wenye hali ya umaskini kwa zaidi ya milioni 10. Wakati wa kuhakikisha yanatimizwa malengo yaliyowekwa ya kuondoa umaskini, ni lazima kuwawezesha wakulima wa China waishi maisha bora kwa pande zote.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako