• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kupunguza ongezeko la bajeti ya ulinzi hadi asilimia 7.5

    (GMT+08:00) 2019-03-05 11:57:11

    Kwa mujibu wa mswada wa ripoti ya bajeti utakaowasilishwa leo kwenye mkutano Bunge la Umma la China, China itapunguza ongezeko la bajeti yake ya ulinzi hadi asilimia 7.5 mwaka huu kutoka asilimia 8.1 ya mwaka jana.

    Ripoti imeonyesha kuwa bajeti ya ulinzi ya China kwa mwaka huu itafikia Yuan trilioni 1.19, sawa na dola bilioni 177.61 za kimarekani, ambayo ni mwaka wa nne mfululizo kwa ongezeko la bajeti ya ulinzi ya China kupunguzwa hadi kufikia chini ya asilimia kumi tangu 2016.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako