• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kuziwezesha kampuni zake kushiriki kikamilifu kwenye ujenzi wa Ukanda Mmoja na Njia Moja

    (GMT+08:00) 2019-03-05 16:37:47

    Waziri mkuu wa China Li Keqiang amesema, nchi hiyo inazingatia kanuni ya kujadiliana na kushirikiana, kufuatia kanuni za soko na sheria za kimataifa, na kutoa mchango wa kampuni kuu katika kukuza ujenzi wa Ukanda Mmoja na Njia Moja.

    Amesisitiza kuwa, China itaendeleza ushirikiano wa miundombinu, kuimarisha ushirikiano wa uwezo wa uzalishaji wa kimataifa, na kupanua ushirikiano wa soko la upande wa tatu. Pia kufanya mkutano wa pili wa Baraza Kuu la ushirikiano wa kimataifa la Ukanda Mmoja na Njia Moja, ili kuhimiza ushirikiano wa uwekezaji uendelee kuwa bora na kwa utaratibu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako