• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Fedha zilizotengwa kwa ajili ya sekta ya elimu nchini China zaendelea kuchukua zaidi ya asilimia 4 kwenye pato la taifa

    (GMT+08:00) 2019-03-05 16:38:16

    Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang amesema, China inapaswa kuendeleza elimu yenye usawa na bora zaidi.

    Katika ripoti yake ya kazi ya serikali ya China aliyoitoa leo, Bw. Li amesema ingawa serikali inabanwa na fedha mwaka huu, lakini fedha iliyotengwa kwa ajili ya sekta ya elimu inaendelea kuchukua zaidi ya asilimia 4 kwenye pato la taifa la China, ambapo idadi ya matumizi ya elimu ya serikali imezidi dola bilioni 149.2 za kimarekani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako