• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China asisitiza nia ya kimkakati katika kuimarisha ujenzi wa mazingira ya kiikolojia

    (GMT+08:00) 2019-03-05 19:37:30

    Rais Xi Jinping wa China amesisitiza juhudi zaidi ziongezwe ili kudumisha nia ya kimakakti katika kuimarisha ujenzi wa mazingira ya kiikolojia na ulinzi wa mandhari za kupendeza kwenye maeneo ya mpakani kaskazini mwa nchi hiyo.

    Rais Xi ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) amesema hayo leo alipohudhuria majadiliano na wanaibu wake kutoka mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani wakati wa mkutano wa pili wa Bunge la 13 la Umma la China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako