• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya watu maskini nchini China yapungua kwa zaidi ya milioni 80 katika miaka 6 iliyopita

    (GMT+08:00) 2019-03-07 18:56:25

    Mkurugenzi wa idara ya kikundi cha kuongoza kazi za kupunguza umaskini na maendeleo iliyo chini ya Baraza la Serikali la China Bw. Liu Yongfu amesema, tangu kutekeleza mpango wa kupunguza umaskini kwa usahihi nchini China miaka 6 iliyopita, idadi ya watu maskini imepungua zaidi ya milioni 80.

    Amesema idadi hiyo imeshuka kutoka milioni 98.99 mwaka 2012 hadi milioni 16.6 mwaka 2018, na kwamba mwaka huu, China itafanya juhudi kupunguza idadi ya watu maskini zaidi ya milioni 10.

    Bw. Liu Yongfu amesema China bado ni nchi kubwa zaidi inayoendelea duniani, hivyo kupunguza umaskini ni kazi ya muda mrefu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako