• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi ashiriki mjadala na wajumbe kutoka Gansu katika mkutano wa bunge unaoendelea

    (GMT+08:00) 2019-03-07 19:48:06

    Rais Xi Jinping wa China ameshiriki kwenye majadiliano na wajumbe kutoka mkoa wa Gansu katika mkutano wa bunge la umma la China unaoendelea hapa Beijing.

    Katika mjadala huo, rais Xi amesema uvumilivu unatakiwa katika mapambano dhidi ya umasikini, kwa kuwa ni miaka miwili tu imebaki kabla ya kufikia lengo la kumaliza umasikini uliokithiri ifikapo mwaka ujao.

    Amesema hakuna kurudi nyuma mpaka ushindi utakapopatikana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako