• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: MTN yazindua simu mpya

    (GMT+08:00) 2019-03-07 20:10:01
    Kampuni ya mawasiliano ya MTN nchini Rwanda imezindua simu mpya yenye uwezo wa kupokea mtandao wa 3G ikiwa ni juhudi za kueneza matumizi ya intaneti zaidi nchini humo

    simu hiyo mpya itauzwa kwa franc 19,000.

    Mkurungezi wa mauzo kwenye kampuni hiyo Richard Acheampong, amesema simu hiyo itapatikana kwenye maduka yote ya MTN kwanza na baadaye kwenye maduka mbalimbali ya simu kote nchini humo.

    Amesema simu hiyo ya bei nafuu inawezesha wateja kupayta huduma zote za intaneti na kutumia mitandao ya kijamii kama vile Whatsapp, Facebook, Youtube na Twitter.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako