• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • HANDIBOLI: NCPB mabingwa wa Handiboli

  (GMT+08:00) 2019-03-08 08:01:35

  Timu ya wanaume ya halmashauri ya Nafaka na Mazao nchini (NCPB) imeibuka mabingwa wa ligi kuu ya Handiboli msimu wa 2018/2019 baada ya kuikung'uta Black Mamba mabao 23-18 uwanjani Kaloleni, Nairobi.

  Madume hao ambao wanafundishwa na kocha, Dunstan Eshikumo wamebeba ubingwa wa taji hilo na kumaliza ukame wa kukosa ubingwa kwa miaka minne.

  Akipongeza wachezaji wake kocha wa NCPB na kusema walijiandaa vizuri na walipania kutwaa ubingwa huo huku mchezaji wa timun ya Ulinzi Nicholas Ireri ameibuka mchezaji bora wa msimu huu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako