• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Fikra ya Xi Jinping kuhusu mambo ya diplomasia imetoa msingi wa kufuata kwa mambo ya diplomasia ya China katika zama mpya

    (GMT+08:00) 2019-03-08 10:44:45

    Waziri wa mambo ya nje wa China leo alipojibu swali la mwandishi wa habari alisema, Mkutano wa kazi ya mambo ya nje ya Kamati kuu ya Chama wa mwaka 2018 umethibitisha hadhi ya Fikra ya Xi Jinping kuhusu mambo ya diplomasia, hayo ni matunda makubwa yenye umuhimu wa zama hizi katika ujenzi wa nadharia ya mambo ya diplomasi ya China, fikra hii imetoa msingi wa kufuata kwa mambo ya dipolomasia ya China katika zama mpya, na pia imetoa mwelekeo kwa utafutaji na utatuaji wa masuala yenye utatanishi wa aina mbalimbali duniani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako