• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa pili wa Baraza la kilele la ushirikiano wa kimataifa wa "Ukanda mmoja, Njia moja" ni mambo muhimu zaidi ya mwaka huu

    (GMT+08:00) 2019-03-08 11:41:59

    Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi leo amesema, Mkutano wa Pili wa Baraza la wakuu la uhirikiano wa kimataifa wa "Ukanda mmoja, Njia moja" utafunguliwa mwezi Aprili hapa Beijing, ambapo Rais Xi Jinping wa China atahudhurian kwenye ufunguzi wa mkutano huo na kutoa hotuba, pia ataendesha mkutano wa wakuu wa nchi mbalimbali katika muda wote wa mkutano wa baraza hilo. Hayo ni mambo muhimu kabisa ya kidiplomasi ya China mwaka huu.

    Waziri huyo amedokeza kuwa, hivi sasa idadi ya wakuu wa nchi mbalimbali wanaotazamiwa kuhudhuria kwenye mkutano huo imezidi ile ya mkutano wa kwanza, ambapo wajumbe wa sekta mbalimbali wapatao zaidi ya elfu kadhaa kutoka nchi zaidi ya mia moja watahudhuria mkutano huo pia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako