• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China atuma salamu kwa wanawake katika Siku ya Kimataifa ya Wanawake

    (GMT+08:00) 2019-03-08 19:04:18

    Leo ni Siku ya Wanawake Duniani.

    Rais Xi Jinping wa China ametoa salamu maalum kwa wanawake wabunge, washauri wa kisiasa na wafanyakazi wote katika mikutano miwili inayoendelea, na pia kwa wanawake wa makabila yote na katika nyanja zote za maisha.

    Rais Xi ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China, ametoa salamu hizo alipoungana na wajumbe kutoka mkoa wa Henan wanaohudhuria mkutano wa Bunge la Umma la China unaoendelea hapa Beijing.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako