• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Xi Jinping asisitiza uhifadhi wa mazingira

     

    (GMT+08:00) 2019-03-08 20:44:23
    Rais Xi Jinping wa China amesema, uhifadhi wa mazingira na maendeleo yasiyoleta uchafuzi ni njia mpya ya kuhimiza maendeleo yenye sifa zaidi.

    Amesema katika sehemu ya vijijini, kutekeleza mawazo ya maendeleo yasiyoleta uchafuzi kutaanzia kuboresha mazingira ya makazi ya wakulima.

    Mwaka jana China ilianza mpango wa miaka mitatu wa kushughulikia mazingira ya makazi ya wakulima.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako