• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Michuano ya klabu bingwa barani Afrika-Kundi D lazidi kuwa gumu

    (GMT+08:00) 2019-03-11 09:34:47
    Michuano ya klabu bingwa barani Afrika kwa kundi D imeendelea wikiendi iliyomalizika, Klabu bora Afrika Al Ahly ikikubali kipigo cha goli moja kwa nunge kutoka kwa wenyeji AS Vita mchezo uliochezwa katika jiji la Kinshasa DRC.

    Nao Wekundu wa Msimbazi wameshindwa kuendeleza wimbi la ushindi kwa kukubali kichapo cha magoli 2-0 toka kwa JS Saoura ya Algeria. Saoura sasa wanaongoza kundi hilo na kufuatiwa na Al Ahly, AS Vita yenyewe inashika nafasi ya tatu huku Simba ya Tanzania ikikamata mkia.

    Michuano hiyo itafikia tamati Jumamosi ijayo kwa Simba ya Tanzania itaikaribisha AS Vita ya DRC huku Al Alhy ikiikaribisha JS Saoura. Samba itahitaji ushundi ili iweze kufuzua hatua ya robo fainali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako