• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA LA WANAWAKE: Super Solico na St. Marys Ndovea mabingwa

    (GMT+08:00) 2019-03-12 08:02:52
    Timu za Super Solico na St. Marys Ndovea za wanawake za Kenya zimenyakua ubingwa wa Safaricom msimu wa pili baada ya kuwatesa wapinzani wao kwenye fainali zilizochezwa uwanja wa Kitui mkoani Mashariki.

    Super solico FC iljipatia ushindi huo ilipotandika wenzao wa Isiolo Young Stars mabao 4-3 kupitia mikwaju ya penalti baada ya kutoka sare ya bao 1-1 katika muda wa kawaida.

    Nao wasichana wa St Marys Ndovea walibeba umalkia huo walipoandikisha ufanisi wa mabao 2-1 mbele ya Chuka Starlets.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako