• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yataka kukuzwa kwa mazungumzo ya kisiasa nchini Afghanistan

    (GMT+08:00) 2019-03-12 08:43:27

    Naibu balozi wa China kwenye Umoja wa Mataifa Bw. Wu Haitao ametoa wito kwa pande zote nchini Afghanistan kuweka kipaumbele maslahi ya taifa, kutumia vizuri fursa muhimu ya maelewano ya kisiasa na kufuata njia ya amani. Bw. Wu ameliambia Baraza la Usalama kuwa jumuiya ya kimataifa inatakiwa kuunga mkono juhudi za serikali ya Afghanistan katika kuhimiza mazungumzo ya kisiasa na kulishawishi kundi la Taliban kurudi kwenye meza ya mazungumzo mapema.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako