• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • CRI kuitangaza moja kwa moja hafla ya kufunga Mkutano wa pili wa Baraza la 13 la Mashauriano ya Kisiasa la China

    (GMT+08:00) 2019-03-12 18:51:56

    Mkutano wa pili wa Baraza la 13 la Mashauriano ya Kisiasa la China utafungwa kesho asubuhi.

    Radio China Kimataifa CRI iliyo chini ya Shirika kuu la Utangazaji la China (CMG) itaitangaza hafla hiyo moja kwa moja kwa lugha za Kichina na Kiingereza kupitia radio na tovuti za Idhaa ya Kichina na ya Kiingereza ya CRI, na APP ya China Plus pia itatangaza hafla hiyo.

    Aidha, tovuti ya lugha ya Kichina ya CRI itatangaza hafla hiyo moja kwa moja kupitia video.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako