• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya: KTDA yapanga kuanza kiwanda cha karatasi

  (GMT+08:00) 2019-03-12 19:17:25
  Shirika la maendeleo ya Chai nchini Kenya KTDA linapanga kuanzisha kiwanda cha kutengeneza karatasi kama njia moja ya kuongeza mapato.

  Shirika hilo limeziomba taasisi au watu binafsi wanaotaka kushirikiana kwenye kiwanda hicho kutuma maombi yao.

  Baadhi ya bidhaa za karatasi ambazo KTDA inapanga kuzalisha ni pamoja na za upakiaji wa chain a saruji.

  Tayari KTDA hadi sasa imepanda zaidi ya miti milioni 1.6 ambayo ni mali ghafi kuu ya kutengeneza karatasi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako