• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya: Cyton kupata mkopo wa shilingi milioni 650 kutoka SBM

  (GMT+08:00) 2019-03-12 19:18:51
  Kampuni ya kujenga nyumba ya Cytonn nchini Kenya imefikia makubaliano ya kupata mkopo wa shilingi milioni 650 kutoka kwa benki ya SBM.

  Mkurungezi wa kampuni hiyo Edwin Dande, amesema makubaliano amesema makubaliano ya mkopo huo yatatiwa saini ndani ya wiki hii.

  Amesema fedha hizo zitatumika kukamlisha mradi wa Alma ambao unajumuisha nyyumba 477 za makaazi na bishara katika eneo la Ruaka.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako