• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Ligi kuu Tanzania Bara- Bodi ya ligi yakanusha upangaji matokeo

    (GMT+08:00) 2019-03-13 08:19:18
    Mwenyekiti wa bodi ya ligi ya Tanzania, Steven Mguto amesema suala la upangaji matokeo hakuna kwenye ligi kuu Tanzania bara. Mguto pia amekiri kuwepo kwa changamoto ya mechi nyingi za viporo huku Simba ikiwa ndio klabu yenye viporo vingi kwenye ligi hadi sasa kwakuwa inaiwakilisha nchi hiyo kwenye michuano ya kimataifa.

    Amesema ratiba ya mechi kubadilika inatokana na mashindano ya CAF lakini pia CAF wamebadili kalenda yao iendane na ya FIFA kwahiyo mechi nyingi zinafuatana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako